Ludovick Joseph Minde
Mandhari
(Elekezwa kutoka Ludovic Minde)
Ludovick Joseph Minde (alizaliwa Kibosho, 12 Desemba 1952) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Tanzania ambaye ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Moshi tangu mwaka 2020. Yeye ni mwana jamii wa Mapadre wa Maisha ya Mitume katika Opus Spiritus Sancti (ALCP/OSS).[1]
Mwaka 1986 alipata upadrisho. Alipewa uteuzi kuwa askofu na Papa Yohane Paulo II tarehe 24 Aprili 2001. Aliwekwa wakfu kuwa askofu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka wa 2001.
Tangu tarehe 24 Aprili 2001 alikuwa askofu wa Jimbo la Kahama akimfuata mtangulizi wake askofu Matthew Shija.
Tarehe 2 Desemba 2019 alihamishiwa Jimbo la Moshi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Heckton Chuwa (8 Aprili 2023). "Christians Urged To Pray For Moral Decay". Tanzania Daily News. Dar es Salaam, Tanzania. Iliwekwa mnamo 15 Januari 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Ukurasa wa Askofu Minde katika Catholic Hierarchy (Kiingereza)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |