Absalomu


Absalomu (kwa Kiebrania אבשלום) alikuwa mwana wa Mfalme Daudi wa Israeli. Mama yake alikuwa Maaka.
Ametajwa katika Biblia ya Kiebrania, ambayo ni sehemu ya Biblia ya Kikristo (Agano la Kale), katika Kitabu cha Pili cha Samueli, kuanzia sura ya 3, mstari wa 3.
Hasa alijitokeza baada ya tukio lifuatalo: kaka yake Amnoni alimbaka Tamari, ambaye alikuwa dada yake upande wa baba, ila mama zao zilikuwa tofauti. Kumbe Absalomu alikuwa kaka wa Tamari hata upande wa mama. Absalomu alimchukia Amnoni moyoni lakini alikaa kimya miaka miwili.
Ndipo alipoandaa karamu kubwa ya kukata manyoya ya kondoo huko Baal-hasori. Alimwalika Mfalme Daudi na wana wa mfalme wote, pamoja na Amnoni. Absalomu aliwaamuru watumishi wake wamwue Amnoni pindi atakapolewa divai. Amnoni aliuawa akiwa mezani, na wana wengine wa mfalme wakatoroka kwa hofu. Absalomu mwenyewe alikimbilia Geshuri na kuishi huko miaka mitatu mpaka hasira ya Daudi ipoe.
Tukio hilo lilianzisha farakano kubwa katika familia ya Daudi. Baadaye, Absalomu alirudi na kuongoza uasi dhidi ya baba yake, Daudi, lakini alishindwa na kuuawa asiache watoto.
Kifo chake kiligusa sana watu hivi kwamba wasanii mbalimbali walitunga tamthilia na muziki juu yake.
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- Anon (1988). Historisk tidskrift (kwa Kiswidi). Svenska historiska föreningen.
- Barkat, Amiram (22 Julai 2003). "Jewish Yad Avshalom revealed as a Christian shrine from Byzantine era". Haaretz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Mei 24, 2018. Iliwekwa mnamo 27 Septemba 2018.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - Cohen, Leonard (1956). Let Us Compare Mythologies. McClelland & Stewart. ISBN 978-0-7710-2454-2.
- Dayton, Tim (2003). Muriel Rukeyser's the Book of the Dead. University of Missouri Press. ISBN 978-0-8262-6314-8.
- Freedman, Ralph (1998). Life of a Poet: Rainer Maria Rilke. Northwestern University Press. ISBN 978-0-8101-1543-9.
- Giora, Rachel (2003). On Our Mind: Salience, Context, and Figurative Language. Oxford University Press. ISBN 978-0-19-535050-0.
- Goosen, Louis (1999). Van Abraham tot Zacharia: thema's uit het Oude Testament in religie, beeldende kunst, literatuur, muziek en theater (PDF) (kwa Kiholanzi). SUN. ISBN 9789061685784. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 2022-10-09. Iliwekwa mnamo 11 Aprili 2019.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - Jeffrey, David Lyle (1992). A Dictionary of Biblical Tradition in English Literature. Wm. B. Eerdmans. ISBN 978-0-8028-3634-2.
- Kirk-Duggan, Cheryl A. (2004). Pregnant Passion: Gender, Sex, and Violence in the Bible. Brill. ISBN 90-04-12731-3.
- Kirkpatrick, A.F. (1905). J J Stewart Perowne (mhr.). Cambridge Bible for Schools and Colleges. Cambridge University Press.
- Lennox, Doug (2010). Now You Know The Bible. Dundurn. ISBN 978-1-4597-1871-5.
- MacMurraugh-Kavanagh, Madeleine (1998). Peter Shaffer: Theatre and Drama. Palgrave Macmillan. ISBN 978-0-230-37295-5.
- Moore, C. L.; Kuttner, Henry (2012). Absalom. eStar Books. ISBN 978-1-61210-446-1.
- Price, J. Randall; House, H. Wayne (2017). Zondervan Handbook of Biblical Archaeology: A Book by Book Guide to Archaeological Discoveries Related to the Bible. Zondervan Academic. ISBN 978-0-310-52764-0.
- Rilke, Rainer Maria (1998). "The Fall of Absalom". Neue Gedichte. Northwestern University Press. ISBN 978-0-8101-1649-8.
- Singer, Isidore, mhr. (1901). "ABSALOM ("The Father of Peace")". The Jewish Encyclopedia. Juz. la 1. New York and London: Funk & Wagnall.
- Thomas, W. (2006). The Crafting of Absalom and Achitophel: Dryden's Pen for a Party. Wilfrid Laurier Univ. Press. ISBN 978-0-88920-584-0.
- Urgo, Joseph R.; Polk, Noel (2010). Reading Faulkner: Absalom, Absalom!. Univ. Press of Mississippi. ISBN 978-1-60473-435-5.
- Vilnay, Zev (1999). "Pillar of Absalom". The Vilnay Guide to Israel. Beit Or-Vilnay Publishers. ISBN 9789659026906.
- Webster, Bud (n.d.). "A Kuttner Above the Rest (But Wait, There's Moore!)". Philsp.com. Iliwekwa mnamo 2020-02-14.
- Willis, Nathaniel Parker (1845). The Poems, Sacred, Passionate, and Humorous, of Nathaniel Parker Willis. Clark & Austin.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Some musical scores of David's lament for Absalom: Absalon, fili mi (Archived 2022-01-25 at the Wayback Machine)
| Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Absalomu kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |

