Nenda kwa yaliyomo

Ala Talabani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ala Talabani ({{|ku|ئاڵا تاڵەبانی}}) ni mwanasiasa wa Kikurdi kutoka nchini Iraq na alikuwa kiongozi mkuu wa kundi la Patriotic Union of Kurdistan katika Baraza la Wawakilishi la Iraq. Pia ni mbunge aliwahi kuchaguliwa mara tatu katika Baraza la Wawakilishi la Iraq.[1][2]

  1. ↑ ["Ala Talabani". Rudaw. Iliwekwa mnamo 11) Mei 2026. {{cite web}}: Check |url= value (help); Check date values in: |access-date= (help)
  2. ↑ ["Ala Talabani". Bloomberg. Iliwekwa mnamo 11) Mei 2026. {{cite web}}: Check |url= value (help); Check date values in: |access-date= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ala Talabani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.