Nenda kwa yaliyomo

Alda Merini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alda Merini (alizaliwa Milano, 21 Machi 1931 - Milano, 1 Novemba 2009) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchini Italia.[1] Kazi zake zilivutia na kusifiwa sana na waandishi wengine mashuhuri wa Italia, kama vile Giorgio Manganelli, Salvatore Quasimodona Pier Paolo Pasolini.[2]

  1. ↑ "Merini, Alda katika Enciclopedia Treccani" (kwa Kiitaliano). Istituto della Enciclopedia Italiana. Iliwekwa mnamo 17 Mei 2026.
  2. ↑ "Alda Merini Obituary". The Guardian. 16 Novemba 2009. Iliwekwa mnamo 17 Mei 2026.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alda Merini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.