Nenda kwa yaliyomo

David Packard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

David Packard (Septemba 7, 1912 – Machi 26, 1996) alikuwa mhandisi wa umeme bilionea nchini Marekani na mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Hewlett-Packard (HP) pamoja na Bill Hewlett (1939). Alihudumu kama rais (1947–1964), afisa mkuu mtendaji (1964–1968), na mwenyekiti wa bodi (1964–1968, 1972–1993) wa Hewlett-Packard(HP).[1] Alihudumu kama Naibu Waziri wa Ulinzi wa Marekani kuanzia mwaka 1969 hadi 1971 wakati wa utawala wa Richard Nixon.[2]

  1. ↑ "David Packard". Forbes. Iliwekwa mnamo 2026-04-28.
  2. ↑ "David Packard". Encyclopaedia Britannica. Iliwekwa mnamo 2026-04-28.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Packard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.