Fernando Cento
Mandhari
Fernando Cento (10 Agosti 1883 – 13 Januari 1973) alikuwa askofu mkuu na Kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Italia aliyepata kuwa Mkuu wa Idara ya Kitubio cha Kitume.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la XXXVIII. 1946. uk. 164. Iliwekwa mnamo 15 Januari 2020.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |