Franco Mostert
Mandhari
Franco Mostert (alizaliwa 27 Novemba 1990) ni mchezaji wa kulipwa wa raga kutoka Afrika Kusini. Kwa sasa anachezea klabu ya Honda Heat nchini Japani na pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Afrika Kusini .
Nafasi yake ya kawaida ni mchezaji wa safu ya pili, lakini mara nyingi pia hucheza kama flanker (mchezaji wa safu ya tatu).
Mostert alikuwa miongoni mwa wachezaji wa Springboks waliotwaa ubingwa wa Kombe la Dunia la Raga (Rugby World Cup) mwaka 2019 nchini Japani na tena mwaka 2023 nchini Ufaransa.
Tuzo na mafanikio
[hariri | hariri chanzo]Afrika Kusini
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://rugbyworldcup.com/2023/teams/south-africa/player/58426
- ↑ https://web.archive.org/web/20161019153233/http://www.lourugby.fr/actualites/communique-officiel-franco-mostert/23661/
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Franco Mostert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |