Nenda kwa yaliyomo

Franz Arancibia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Franz Ramón Arancibia Unger (alizaliwa 7 Aprili 1967) ni mchezaji wa zamani wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Chile, aliyekuwa akicheza katika nafasi ya mshambuliaji kwa vilabu vya nchini Chile na Uswisi. [1]

  1. ↑ "Los hermosos recuerdos del "Otto" Arancibia en su paso por San Luis". El Observador (kwa Kihispania). 14 Aprili 2020. Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Franz Arancibia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.