Nenda kwa yaliyomo

Geoffrey Boycott

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Geoffrey Boycott (alizaliwa 21 Oktoba 1940) ni mchezaji wa zamani wa kriketi kutoka Uingereza. Alizaliwa Fitzwilliam, Yorkshire. Alichezea Yorkshire na Uingereza. Alifunga mikimbio 8,114 katika Test.[1][2]

  1. ↑ Greenslade, Nick (4 Julai 2004). "First and last". The Guardian. London. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Desemba 2019. Iliwekwa mnamo 7 Mei 2009.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ "Records/First-class matches/Batting records/Most hundreds in a career". ESPNcricinfo. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Januari 2010. Iliwekwa mnamo 29 Novemba 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Geoffrey Boycott kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.