Gilbert Blane
Mandhari
Sir Gilbert Blane wa Blanefield, Baronet wa Kwanza (FRSE, FRS, MRCP) (29 Agosti 1749 – 26 Juni 1834) alikuwa daktari wa Uskoti aliyefanya mageuzi muhimu ya afya katika Jeshi la Wanamaji la Kifalme la Uingereza (Royal Navy).[1]
Alishiriki katika mapambano dhidi ya majeshi ya wanamaji ya Ufaransa na Hispania, na baadaye akahudumu kama Kamishna katika Bodi ya Wagonjwa na Majeruhi ya Admiralty ya Uingereza.[2]
Mwaka 1813 alikuwa Rais wa Medical and Chirurgical Society of London.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Waterston, Charles D; Macmillan Shearer, A (Julai 2006). [(https://web.archive.org/web/20061004113545/http://www.rse.org.uk/fellowship/fells_indexp1.pdf) Former Fellows of the Royal Society of Edinburgh 1783–2002: Biographical Index]. Juz. la I. Edinburgh: The Royal Society of Edinburgh. ISBN 978-0-902198-84-5. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [(http://www.rse.org.uk/fellowship/fells_indexp1.pdf) chanzo] mnamo 4 Oktoba 2006. Iliwekwa mnamo 19 Novemba 2011.
{{cite book}}: Check|archive-url=value (help); Check|url=value (help) - ↑ Penn-Barwell, Jowan (2016). [(https://web.archive.org/web/20160822031114/http://www.jrnms.com/wp-content/uploads/2016/07/JRNMS-102-1-61-66.pdf) "Sir Gilbert Blane FRS: the man and his legacy"]. Journal of the Royal Naval Medical Service. 102 (1): 61–66. doi:10.1136/jrnms-102-61. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [(http://www.jrnms.com/wp-content/uploads/2016/07/JRNMS-102-1-61-66.pdf) chanzo] mnamo 22 Agosti 2016. Iliwekwa mnamo 16 Agosti 2016.
{{cite journal}}: Check|archive-url=value (help); Check|url=value (help)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gilbert Blane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |