Grace Lin
Mandhari
Grace Lin (alizaliwa 17 Mei 1974) ni mwandishi na mchoraji wa watoto kutoka Taiwan na Marekani. Yeye ni mshindi wa tuzo ya Newbery, Geisel, na Caldecott, alijulikana kwa kuchangia na kutetea uwakilishi na utofauti wa Waamerika wa Asia katika fasihi ya watoto. Alichapisha zaidi ya vitabu 25, ambavyo vyote viliandikwa kwa ajili ya hadhira ya vijana na ya kati. Sehemu kubwa ya kazi zake iliwaangazia wahusika vijana wa Marekani na Asia katika mazingira ya kila siku na ya ajabu[1][2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "TeachingBooks | Author & Book Resources to Support Reading Education". www.teachingbooks.net. Iliwekwa mnamo 2022-04-27.
- ↑ "Lin, Grace 1974– | Encyclopedia.com". www.encyclopedia.com. Iliwekwa mnamo 2022-04-27.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Grace Lin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |