Nenda kwa yaliyomo

Jimmy Rane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

James W. Rane (alizaliwa 1947) ni mfanyabiashara nchini Marekani.Ni mwanzilishi, mwenyekiti, na afisa mkuu mtendaji (CEO) wa Great Southern Wood Preserving, moja ya wazalishaji wakubwa wa mbao duniani.[1][2]Utajiri wake unakadiriwa kuwa dola bilioni 1.2, Rane ndiye mtu tajiri zaidi nchini Alabama.[3]

  1. ↑ Suess, Tyler (2023-10-10). "Jimmy Rane: The Philanthropic Pioneer and Richest Person in Alabama". Medium (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-11-07.
  2. ↑ Durot, Matt. "How A Crime Fighting Cowboy Became Alabama's Only Billionaire". Forbes (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-11-07.
  3. ↑ "Jimmy Rane". Forbes. Iliwekwa mnamo 2026-04-29.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimmy Rane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.