Nenda kwa yaliyomo

Joe Aribo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Joe Aribo

Amezaliwa 21 Julai 1996 (1996-07-21) (umri 30)
Camberwell, Uingereza
Nchi Uingereza
Urefu 1.83 m

Joseph Oluwaseyi Temitope Ayodele-Aribo (alizaliwa 21 Julai 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Nigeria anayecheza nafasi ya kiungo katika timu ya taifa ya Nigeria. Kwa sasa hana klabu.[1]

Alianza taaluma yake ya klabu katika timu ya Staines Town kisha akautumia miaka mine akiwa na Charlton Athletic katika ligi ya daraja la kwanza nchini Uingereza. Mnamo mwaka 2019 alisaini mkataba na Rangers, ambapo alishinda ligi kuu ya Uskoti mnamo mwaka 2021 na Kombe la Uskoti mwaka mmoja baadaye. Alijiunga na Southampton mnamo Julai 2022. Aribo alitumia nusu ya msimu wa 2025–26 kwa mkopo katika klabu ya Leicester City.

Alizaliwa na kulelewa jijini London, Aribo anachezea timu ya taifa ya Nigeria kwa kuwa na sifa kutokana na asili ya wazazi wake. Alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa mnamo mwaka 2019, na alikuwa sehemu ya kikosi chao katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika mnamo mwaka 2021 na 2023, akimaliza kama mshindi wa pili katika mashindano hayo.[2]

  1. ↑ "Joe Aribo" (kwa English). National Football Teams. Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2026.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. ↑ "J. Aribo". Soccerway (kwa English). Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2026.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joe Aribo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.