Marcell Jansen
Mandhari

Marcell Jansen (hutamkwa kwa Kijerumani: Marcel Yansen; aliyezaliwa 4 Novemba 1985) ni mchezaji wa zamani wa kulipwa wa mpira wa miguu wa Ujerumani aliyekuwa akicheza katika nafasi ya beki wa kushoto.
Alijulikana sana kwa kupiga krosi kwa usahihi na kasi yake, licha ya kuwa na kimo kirefu. Akiwa mchezaji mwenye uwezo wa kucheza nafasi mbalimbali, Jansen alicheza zaidi kama beki wa pembeni au wing-back wa kushoto, lakini pia aliweza kucheza kama winga wa kushoto.
Heshima na Mafanikio
[hariri | hariri chanzo]Bayern Munich
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://web.archive.org/web/20150905195115/http://www.fifa.com/fifa-tournaments/players-coaches/people=196791/index.html
- ↑ https://www.national-football-teams.com/player/12176/Marcell_Jansen.html
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marcell Jansen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |