Mirko Cro Cop
Mandhari
Mirko Filipović (amezaliwa 10 Septemba 1974), anayejulikana zaidi kwa jina lake la ulingoni Mirko Cro Cop, ni mtaalamu wa zamani wa Kroatia wa MMA, kickboxing na pia boxing ya amateur.
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Cro Cop anajulikana zaidi kwa kipindi chake katika Pride Fighting Championships. Pia amepigana katika mashindano makubwa kama UFC, K-1, RIZIN na Bellator.
Anachukuliwa sana kuwa miongoni mwa wapiganaji wakubwa kabisa wa uzani wa juu katika historia ya MMA na kickboxing, na anatajwa mara kwa mara kama mmoja wa wapiganaji bora wa knockout waliowahi kuwepo.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ [(https://mmasucka.com/2020/05/24/the-top-10-heavyweights-of-all-time/) "The Top 10 Heavyweights of All Time .He is considered the best KO martial artist ever existed"]. mmasucka.com. 24 Mei 2020. Iliwekwa mnamo 6 Januari 2021.
{{cite web}}: Check|url=value (help)[dead link] - ↑ [(https://thebodylockmma.com/mma/revisiting-the-legendary-career-of-mirko-cro-cop/) "Left leg; cemetery: Revisiting the legendary career of Mirko Cro Cop"]. thebodylockmma.com. 8 Machi 2019. Iliwekwa mnamo 6 Januari 2021.
{{cite web}}: Check|url=value (help) - ↑ [(https://bleacherreport.com/articles/470779-frank-mir-mirko-cro-cop-and-the-15-greatest-heavyweights-of-all-time) "Frank Mir, Mirko Cro Cop, and MMA's 15 Greatest Heavyweights of All Time"]. bleacherreport.com. Iliwekwa mnamo 6 Januari 2021.
{{cite web}}: Check|url=value (help)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mirko Cro Cop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |