Nathaniel Chalobah

Nathaniel Nyakie Chalobah (alizaliwa 12 Desemba 1994) ni mchezaji wa soka wa kulipwa anayocheza nafasi ya kiungo mkabaji katika klabu ya Charlton Athletic, inayoshiriki EFL Championship.
Chalobah alizaliwa Sierra Leone, lakini aliwakilisha timu ya taifa ya England katika ngazi ya kimataifa.
Maisha ya klabu
[hariri | hariri chanzo]Chelsea
[hariri | hariri chanzo]Baada ya kuanza katika mfumo wa akademi ya vijana wa Fulham, Chalobah alihamia katika akademi ya Chelsea akiwa na umri wa miaka 10.
Katika msimu wa 2010–11, akiwa bado mwanafunzi wa shule, alicheza katika timu ya akiba ya Chelsea na akasaidia timu hiyo kushinda ubingwa wa kitaifa msimu huo.
Katika msimu wa 2011–12, Chalobah alikuwa nahodha wa mara kwa mara wa timu za akiba na vijana za Chelsea. Pia alikuwa nahodha wa timu iliyoshinda Kombe la Vijana la FA mwaka 2012.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://web.archive.org/web/20160309224746/http://www.fifa.com/fifa-tournaments/players-coaches/people=336036/index.html
- ↑ https://web.archive.org/web/20240608050725/http://barryhugmansfootballers.com/player/22548
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nathaniel Chalobah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |