OnePlus 13
Mandhari
OnePlus 13 ni simu ya Android kutoka OnePlus, iliyotangazwa Oktoba 31, 2024, na kuzinduliwa China siku moja baadaye, kisha kimataifa Januari 7, 2025.
Inapatikana kwa rangi tatu: nyeupe na nyeusi (zikiwa na kioo nyuma) na bluu (yenye ngozi bandia). Tofauti na OnePlus 12, ina kingo tambarare badala ya zilizopinda[1][2].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "OnePlus 13 Smartphone Review: Let the battery revolution begin". www.notebookcheck.net. Iliwekwa mnamo Desemba 21, 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "The OnePlus 13 Now Has an Official Date for Its North American Launch". www.cnet.com. cnet. Iliwekwa mnamo 21 Desemba 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |