Nenda kwa yaliyomo

Randy Lerner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Randy Lerner (Alizaliwa Februari 21, 1962) ni mfanyabiashara bilionea na mmiliki wa zamani wa timu za michezo nchini Marekani.[1] Alikua mmiliki mkuu wa timu ya futiboli ya Marekani Cleveland Browns ya National Football League (NFL) baada ya kifo cha baba yake Alfred Lerner mwaka 2002, na akaiuza timu hiyo mwaka 2012.[2] Lerner alikua mmiliki na mwenyekiti wa klabu nchini Uingereza ya Aston Villa F.C. ya Ligi kuu Uingereza(EPL) mwaka 2006; aliiuza klabu hiyo kwa hasara mwaka 2016 baada ya kushuka daraja.[3] Kufikia Julai 2024, Forbes ilikadiria utajiri wake kuwa dola bilioni 1.2.[4]

  1. ↑ Matt DeFaveri (Agosti 2, 2012). "Browns' Jewish ownership going, going, gone".{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ "Alfred Lerner '55: Businessman, Philanthropist, Student Center Benefactor". Columbia College Today. Januari 2003. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-19. Iliwekwa mnamo Agosti 27, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. ↑ "The Guardian Profile: Randy Lerner". the Guardian (kwa Kiingereza). Machi 7, 2008. Iliwekwa mnamo Agosti 27, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. ↑ "Forbes profile: Randolph Lerner". Forbes. Iliwekwa mnamo 20 Julai 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Randy Lerner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.