Winibaldi
Mandhari

Winibaldi, O.S.B. (pia: Winibald, Winebald, Winnibald, Wunebald, Wynbald; Wessex, Uingereza, 702 hivi - Heidenheim, Bavaria, Ujerumani, 18 Desemba 761) alikuwa mwana wa Rikardo wa Lucca, na ndugu wa askofu Wilibaldi wa Eichstätt na wa Walburga wa Heidenheim ambao wote tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu, sawa naye mwenyewe[1] .
Watoto hao watatu walimfuata Bonifas mfiadini katika kuinjilisha Ujerumani [2] na Vinibaldi alipewa upadirisho [3].
Baadaye alianzisha monasteri dabo huko akawa abati wake wa kwanza[4][5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mershman, Francis. "Sts. Willibald and Winnebald." The Catholic Encyclopedia Vol. 15. New York: Robert Appleton Company, 1912. 24 Apr. 2019
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/91528
- ↑ Butler, Alban. “Saint Winebald, Abbot and Confessor”. Lives of the Fathers, Martyrs, and Principal Saints, 1866. CatholicSaints.Info. 16 December 2013
- ↑ Monks of Ramsgate. “Winebald”. Book of Saints, 1921. CatholicSaints.Info. 13 December 2016
- ↑ Stanton, Richard. A Menology of England and Wales, Burns & Oates, 1892, p. 602
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 453-454
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 392-393
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Saints of December 18 Ilihifadhiwa 10 Januari 2020 kwenye Wayback Machine.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |