Wambole
Mandhari
Wambole ni kabila la watu wanaoishi hasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Kusini Mashariki). Wanakadiriwa kuwa 150,000 hivi.
Lugha ya wengi wao ni Kimbole, ambayo ni kati ya lugha za Kibantu. Dini yao ya kawaida ni Ukristo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wambole kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |